Hakiki Muonekano wa computer wa njee ukikagua kwa makini michubuko na mipasuko maana inaweza leta shida baadaye.
Washa hiyo computer na iwake hadi mwisho usinunue computer ambayo haiwaki kwa kigezo cha kuaminiana.
Hakiki
screen yako, mara kadhaa computer huwa zinauzwa na screen ambazo
zinakwenda kuharibika, cheki katika screen yako kama kuna mistari yeyote
ambayo haibadiliki na vile ambavyo vinaendelea ndani ya computer.
Baada
ya computer kuwaka hakiki ukubwa wa hard drive/harddisk/ storage au
uhifadhi wa computer kama ndio ule ule ambao umetajiwa.
Hakiki speed ya computer kwa kufungua vitu mbalimbali
kama speed ya kucheza videos na hata kufunga na kufungua mafaili au fata
maelekezo ambayo umeonyeshwa hapo chini, speed yenyewe hupimwa katika
MB(megabyte) na GB(Gigabyte) .
Hakiki
uwezo wa kuingiza charge na muda wa kukaa na charge kwa kukubaliana na
muuzaji jinsi ya kutambua muda huo udanganywe kwa jinsi computer
ilivyoandika katika tab area...
Kwa ushauri zaidi tupigie....
ECL Computer Clinic-Consultancy Services.
0 comments:
Post a Comment