Fahamu Business Analyst ni nani? 
na nini kinahitajika ili kuwa Business Analyst,
ili uweze kufahamu 
kama je una muhitaji mtu kama huyu katika biashara yako au 
ujiandaaje kufanya interview ya nafasi ya Business Analyst na zaidi 
unafanyaje kujiboresha zaidi kama wewe ni Business Analyst.

Business Analyst Ni Nani?

Business Analyst ni mtaalamu ambaye anahusika katika kuisaidia biashara 
kutumia teknolojia kwa gharama nafuu, 
ili kuboresha mfumo wa biashara uweze kuipatia kampuni faida kubwa zaidi.

Chimbuko lao

Hii kazi ilianza kuchukua nafasi kubwa katika karne ya 21, wakiwa na kazi moja kubwa 
ya kuunganisha teknolojia 
iliyopo na utimizaji wa malengo ya kampuni husika.

Kazi yao

Kuleta ufanisi katika uendeshaji wa biashara.

Huhusika katika kupanga mipango mbali na kufuatilia mipango hiyo kwa umakini.


Kufuatilia mahitaji yanayojitokeza siku hadi siku katika uendeshaji wa biashara.


Kuboresha mfumo wa uendeshaji uliokowapo ili ufanye kazi kwa ufanisi zaidi.


Kutafuta majibu ya kiteknolojia juu ya changamoto zote katika mfumo wa uendeshaji wa biashara.


Sifa za kuwa Business Analyst

Uwezo wa kuwasiliana vizuri kwa njia ya kuandika na kuongea, kawaida na kitaalamu zaidi.

Uelewa wa mambo kadha yanayohusu software engineering.

Uwezo wa kufanya cost/benefit analysis.

Uwezo wa kufanya Business Case development

Uwezo wa kutumia modeling techniques 

Uongozi.

Elimu na Mafunzo ya Business Analyst

Kazi hii huwa inahitaji zaidi digrii ya Information technology, Computer Science au Software Engineering na kozi zinazolingana na zilizotajwa hapo juu.

Halafu unatakiwa ila sio lazima upate mafunzo zaidi(Certifications) kama IIBA and CBAP ila ukiwa na hizo   digrii hapo juu unafaa kuanza kazi. 


Kwa Taarifa, Maswali, fursa mbali mbali za IT hapa Tanzania na Africa Mashariki, pamoja na kozi fupi za ujuzi mbali mbali katika IT(information Technology),jiunge na group la whatsapp la MAXPO Tanzania Maximize your potential Bonyeza hapa   
Kwa maswali zaidi wasiliana nasi.

Fanya Maandalizi ya Kutosha, ili uweze kufanikiwa na hatimaye kupata kazi kama System Administrator.

Mambo ya Kuzingatia.

👉Uwe umesoma IT au Computer Science au 
  una Elimu ya mambo hayo,  

kwa maana vitu kadhaa ambavyo vinahitajika humo vilishafundishwa katika kozi hizo.
👉Uwe umejiongeza mwenyewe binafsi na unafahamu fika,
nini kinaendelea katika nafasi hiyo, 
kwa maana wewe unahusika na usalama wa taarifa nyeti za kampuni na muundo mbinu yote ya Tehama.


👉Itafaa zaidi kama utakuwa una vyeti vya CISCO au Microsoft,Ili uwaaminishe watu yakuwa wewe unaweza ukaihudumia vizuri mitambo ya IT. Ukitaka kujua ni zipi soma article yangu ya certifications hapa...


👉Cha mwisho lakini cha muhimu sana, jifunze Linux, ni muhimu hata Microsoft katika server zake nyeti anatumia Linux.


Kwa Taarifa, Maswali, fursa mbali mbali za IT hapa Tanzania na Africa Mashariki, pamoja na kozi fupi za ujuzi mbali mbali katika IT(information Technology),jiunge na group la whatsapp la MAXPO Tanzania Maximize your potential Bonyeza hapa   


Hayo yalikuwa, kutoka kwangu kama IT Consultant.

Yafuatayo yatakusaidia kukuandaa zaidi katika Interview yako....Mungu akusaidie.

Kwa mambo ya kujisomea binafsi, maswali na majibu kwa interview ya kuandika(written)

Link hii hapa...

Kwa mambo ya kujisomea binafsi, maswali na majibu kwa interview ya Kuongea(oral)

Link hii hapa...


Angalia hii video kukubrush na kazi ya System AdministrationHii Video ya pili itakupa kujiamini katika maswali utakayoulizwa...
Kwa ushauri zaidi, wasiliana nami katika elisanteshibanda@yahoo.com.
Interview Njema.