Kwa Taarifa, Maswali, fursa mbali mbali za IT hapa Tanzania na Africa Mashariki, pamoja na kozi fupi za ujuzi mbali mbali katika IT(information Technology),jiunge na group la whatsapp la MAXPO Tanzania Maximize your potential Bonyeza hapa
Showing posts with label Swahili. Show all posts

Application Programmer huhusika na kudesign, kutest programu katika upande wa logic, pia huandaa documentation na kutengeneza programu kwa ajili ya matumizi ya kampuni husika.
Kazi Afanyazo
- Anafanya coding, testing, debugging, documenting na installation ya programu.
- Anatumia lugha maalumu za computer ili kuongeza ufanisi wa programu zinazoendelea kufanya kazi.
- Anafuatilia ufanyaji kazi wa ufanisi wa programu zote zinazofanya kazi, na kushughulikia mapungufu yote yanayojitokeza.
- Anatumia mahitaji maalumu ambayo amepewa na kampuni, na kutengeneza programu mbazo zitasaidia kutimiza malengo hayo...mfano: Vodacom wanapotaka kuongeza offer kwenye menu ya MPESA watahitaji kumuona huyu mtu.
- Muda wote huutumia kujiupdate ili kuhakikisha ya kwamba mifumo yote ya kampuni inafanya kazi katika viwango vya kisasa.
- Hujifunza na kuchambua kazi mbali mbali za kampuni na kutoa mchango wake katika kuboresha mifumo husika ili kuleta ufanisi wa hali ya juu katika MIS(Management Information Systems).
Vigezo Vya Kazi.
- Awe na uelewa mzuri wa software na hardware( Technical Capacity)
- Awe na uwezo mzuri wa kutatua changamoto zote zinazojitokeza kwa kutengeneza majawabu ya kiteknolojia.(Problem Solving/ Analysis)
- Awe na uwezo wa kujisamamia mwenyewe na kuchukua hatua mbali mbali za kiutendaji(Initiative).
- Uwe na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wengine na kuweza kuwasilisha kile ambacho unataka kufanya kwa lugha nyepesi na ya kueleweka zaidi.
- Uwe vizuri katika kutumia muda vizuri.
Elimu na Mafunzo
Uwe amepitia kozi zifuatazo , lakini pia awe na ujuzi binafsi wa lugha za computer kama zifuatazo Java, Android, PHP, SQL, HTML,CSS, ASP.Net, Javascript, Python, VB.Net etc.
Bachelor in Computer Science
Bachelor in Information Systems
Bachelor in Software Engineering
Bachelor in Computer Engineering
Bachelor in Information Technology
Na kozi nyingine zinazofanana na hizo hapo juu.
Kwa maelezo, msaada au ushauri zaidi usisite kuzungumza nami.
Kwa Taarifa, Maswali, fursa mbali mbali za IT hapa Tanzania na Africa Mashariki, pamoja na kozi fupi za ujuzi mbali mbali katika IT(information Technology),jiunge na group la whatsapp la MAXPO Tanzania Maximize your potential Bonyeza hapa
Kwa Taarifa, Maswali, fursa mbali mbali za IT hapa Tanzania na Africa Mashariki, pamoja na kozi fupi za ujuzi mbali mbali katika IT(information Technology),jiunge na group la whatsapp la MAXPO Tanzania Maximize your potential Bonyeza hapa
elisanteshibanda@yahoo.com
Fanya Maandalizi ya Kutosha, ili uweze kufanikiwa na hatimaye kupata kazi kama System Administrator.
Mambo ya Kuzingatia.
👉Uwe umesoma IT au Computer Science au
una Elimu ya mambo hayo,
kwa maana vitu kadhaa ambavyo vinahitajika humo vilishafundishwa katika kozi hizo.
👉Uwe umejiongeza mwenyewe binafsi na unafahamu fika,
nini kinaendelea katika nafasi hiyo,
kwa maana wewe unahusika na usalama wa taarifa
nyeti za kampuni na muundo mbinu yote ya Tehama.
👉Itafaa zaidi kama utakuwa una vyeti vya CISCO au Microsoft,
Ili uwaaminishe watu yakuwa wewe unaweza ukaihudumia vizuri mitambo ya IT. Ukitaka kujua ni zipi soma article yangu ya certifications hapa...
👉Cha mwisho lakini cha muhimu sana, jifunze Linux,
ni muhimu hata Microsoft katika server zake nyeti anatumia Linux.
Kwa Taarifa, Maswali, fursa mbali mbali za IT hapa Tanzania na Africa Mashariki, pamoja na kozi fupi za ujuzi mbali mbali katika IT(information Technology),jiunge na group la whatsapp la MAXPO Tanzania Maximize your potential Bonyeza hapa
Hayo yalikuwa, kutoka kwangu kama IT Consultant.
Yafuatayo yatakusaidia kukuandaa zaidi katika Interview yako....Mungu akusaidie.
Kwa mambo ya kujisomea binafsi, maswali na majibu kwa interview ya kuandika(written)
Link hii hapa...
Kwa mambo ya kujisomea binafsi, maswali na majibu kwa interview ya Kuongea(oral)
Link hii hapa...
Angalia hii video kukubrush na kazi ya System Administration
Hii Video ya pili itakupa kujiamini katika maswali utakayoulizwa...
Kwa ushauri zaidi, wasiliana nami katika elisanteshibanda@yahoo.com.
Interview Njema.