Battery hutumika kuendesha umeme ndani ya laptop yako endapo pale unapokuwa hujaichomeka kwenye charge laptop yako.
Uharibifu unaofanyika.
- Unapotumia laptop ikiwa imechomekwa kwenye umeme siku nzima bila kuichomoa pale battery inapojaa.
- Unaposafiri kwa muda mrefu au kiacha laptop bila kuitumia kwa muda mrefu, na kuiacha battery ya laptop ndani ya laptop bila kuitoa.
- Unaponunua adapter feki ili kuchaji battery ya laptop yako.
- Laptop ikijaa charge chomoa kwenye umeme na ikiisha chomeka.
- Ukiona unasumbuka na chomeka chomoa ya hapo juu, tafuta energy management software hiyo itakusadia.
- Unaposafiri kwa muda mrefu zaidi ya siku moja au kupanga kuto kuitumia laptop yako kwa muda mrefu, chomoa battery ya laptop na uihifadhi mahali salama.
- Tumia vifaa au adapter original vya laptop husika vyenye meno matatu(Earth,Live and Neutral).
- Ukiona hali inakuwa mbaya omba msaada.
Good
ReplyDeleteLaptop yangu ukiwasha:1.ukiweka kwenye charge inachukua kama dakika tatu inazima kabisa, hata ukirudia kuwasha haiwaki tena. Tatizo ni nini?
ReplyDelete