Ninavyozungumzia Information technology course najumuisha computer science, computer engineering, Software engineering etc.
Sasa zingatia vigezo vifuatavyo kwa ngazi tofauti.
CHETI
Utahitaji cheti cha form four (CSEE) chenye kuanzia pass 4 (Ukiondoa masomo ya dini)
au
Utahitaji cheti cha National vocational training award level 3.
au
Kwa kwenda kusoma business Informational technology unaweza ukapeleka hata National Business certificate stage 1 kikiwa na pass 2.
DIPLOMA
Utahitaji cheti cha advanced Certificate of Secondary Education(ACSE) ukiwa na principal pass 1 na subsidiary pass 1
au
Basic Technician Certificate (NTA Level 4) katika kozi za certificate in computer science, IT, Business IT, Computer Engineering na Electrical Engineering.
DEGREE
Utahitaji cheti cha advanced Certificate of Secondary Education(ACSE) ukiwa na principal pass 2 ambayo mojawapo lazima iwe Advanced Mathematics
au
ufaulu wa pass katika masomo yeyote mawili ya sayansi na Advanced Mathematics uwe na ufaulu wa subsidiary pass.
au
Uwe na ufaulu wa GPA zaidi ya 3.0 katika ngazi ya Diploma.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na uongozi wa vyuo vinavyotoa IT kwa kutembelea tovuti zao. Kila la kheri.
Kwa Taarifa, Maswali, fursa mbali mbali za IT hapa Tanzania na Africa Mashariki, pamoja na kozi fupi za ujuzi mbali mbali katika IT(information Technology),jiunge na magroup ya Whatsapp ya MAXPO Tanzania Maximize your potential
ufaulu wangu ni four ya 27 lakini ni art je naweza kujiunga
ReplyDeleteMi sijafika form4 nawezaj kupata formu yakujiunga namba yang ni hii0629780952
DeleteMimi sijafika sekondari na ninahitaji hiyo kozi ya kompyuta je sina sifa?
ReplyDeleteJe kama nina ujuzi wa computer lakini sijafika secondary na nahitaji kujiendeleza kielimu je nitapata nafasi
ReplyDeleteNimeishia form four he naweza kusoma diploma
ReplyDeleteNmeishia form four nmepata c moja na d moja naweza nkapata nafasi ya kujiunga
ReplyDeleteNaomba kujua vigezo na vyuo vinavyotoa kozi za nutrition kwa hapa Tanzania nikiwa na Elimu ya cheti NTA LEVEL 4 YA COMMUNITY HEALTH PROGRAM GPA 3.4 pia o-level Nina D 6 flat kwa masomo ya art ikiwemo biology
ReplyDeleteMimi matokeo yangu ya kidato Cha nne nilipata division four ya27 je naweza kusoma it chuo Cha serikali naomba majibu
ReplyDeleteAlf ufaulu wangu ni wa kidato Cha nne
ReplyDeleteMimi matokeo yangu ya kidato Cha nne nilipata division four ya 28 je naweza kusomea information technology
ReplyDeleteMimi Nina principal pass vizur lakn Kwa masomo ya EGM je naweza kusoma course ya bachelor of education with ICT?
ReplyDelete