Ongeza Spidi ya Ku-Type Haraka!! 2024
- Kwanza Relax acha uoga na punguza presha, kutype ni kitu chepesi sana.
- Fahamu herifu za kompyuta zilipo na ukumbuke taratibu taratibu mahali zilipo kila moja hata ikiwa moja kwa siku.
- Acha kutype kwa kidole kimoja, tafadhali weka mikono yako yote kwenye keyboard na yote ifanye kazi ya kutype.
- Acha kutumia kidole kimoja kwa kutype kwa kila mkono, tumia vidole vyote kwa kila mkono.
- Hakikisha kila kidole kina herufi ambazo kina husika na kutype zinaweza zikawa mbili au tatu ...mfano kidole changu kidogo kinahusika na herufi A,Q huku kidole gumba kikitumika kwa space.
- Usiogope kukosea kutype herufi pindi unapotype kwa haraka maana hamna shortcut lazima ukubali makosa ili uweze kupata spidi nzuri ya kutype.
- Tumia programu za bure kabisa za kukufundisha kutype ndani ya wiki moja utakuwa vizuri kabisa. mfano: tembelea hapoa ujipatie programu yako ya bure www.typingmaster.com
0 comments:
Post a Comment