Ni laptop au Tablet?


Kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya Laptop,  na  kuingia kwa Tablet kumeleta maswali katika ununuzi wa hivi vitu, je ni bora  kununua laptop au tablet...
Hebu tuangalia features(Tabia) za vitu hivi ambazo zinajitenganisha na kingine.

LAPTOP.

Ports and Peripherals 

Hizi ni sehemu za kuweza kuungaanisha vifaa muhimu vya uhifadhi kama external hard drives, flash drives, SD cards, HDMI, kwa laptop ina uwezo wa mkubwa wa kuunganishwa na vifaa hivi na kuweza kufanya navyo kazi kupitia sehemu hizi ambazo tablet hazina.

Storage.

 Uhifadhi wa laptop ni mkubwa sana ukilinganisha na tablet, ukianzia uwezo mdogo kabisa wa laptop ni 500GB mpaka TB 2 na kuzidi, ambapo kwa tablet huwa ni 128GB.


 






Graphics.

Huu ni uwezo wa computer kcheza kitu mabcho kinatumia graphics kubwa mfano: Computer games, Graphics Design kwa shughuli kama hizi bado laptop ina uwezo mkubwa wa kucheza kwa graphics kubwa sana kuliko Tablet.




Fast Processors.

Uwezo wa ukokotoaji (Processing Speed) wa laptop ni mkubwa sana ukilinganisha na uwezo wa tablet. Mfano: Gaming 
Mfano: Designing kwa kutumia  Adobe packages.



Easy Typing and Navigation.

  Kama una kazi ndefu ya kufanya siku nzima keyboard ya laptop ni bora zaidi kuliko keyboard ya touch screen ya tablet kwa maana keyboard ya tablet imetengenezwa kwa ajili ya  kuandika maneno mafupi mafupi kama status za kwenye mitandao ya jamii.







Multitasking.

Huu ni uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja ambao unategemea sana uwezo wa ukokotoaji(Processing speed) kwa upande wa laptop kutokana na kuwa na nafasi ya kutosha imeweza kutumia processor zenye uwezo mkubwa sana kushinda za tablets.





Security and less Fragile nature.

Laptop ni vigumu kuibiwa sio kama tablet kwa hiyo ni hatari sana kuhifadhi vitu vingi kwenye tablet ambayo inaweza kuibiwa kwa urahisi na vilevile laptop haiwezi haribika kwa uharaka kama tablets. Uharibifu huu ni kama kuvunjika na uharibifu mwingine.
















TABLET.

Cheap Price/Bei rahisi.

Tablet huuzwa kwa bei ndogo ukilinganisha na laptop, lakini zile zinazokaribia uwezo wa computer huuzwa kwa bei ya juu sana.







Easy Navigation/Rahisi kutumia.

Kutumia tablet ni rahisi sana kuliko kutumia computer/laptop kwa sababu ya urahisi wa kutumia Touch Screen.

 


Portability.

Unaweza kutembea na tablet na kuitumia kokote kule na kwa haraka zaidi kuliko unavyoweza kutumia laptop.











 Power/Charge  

Kutokana na kuwepo  kwa vifaa kama power banks Tablet zimeziacha nyuma laptop katika utunzaji wa chaji kwa sababu zinaweza kuwa recharged mara moja na hizo power banks.









Buying and Consuming media.

Ni rahisi sana kununua na kutumia vitu kama Music, videos, softwares kwa kutumia tablet kuliko kwa kutumia laptop kutokana na urahisi wa mifumo ya tablet.









Conclusion/Hitimisho.

Madhumuni ya watengenezaji ya vitu hivi hayakuwa kimoja kuchukua nafasi ya kingine bali vyote vitumike kwa wakati mmoja kwa maana haiwezekani kimoja kuchukua nafasi ya kingine moja kwa moja bila kuteshekeleza kazi ambayo kingine kingefanya kwa urahisi zaidi...kwa hiyo ni bora kuwa navyo vyote sema sio lazima.
"Ukitaka kufanya kazi, nunua laptop"
"Ukitaka kufurahia internet  na kuongea na marafiki na ndugu kwenye mitandao ya kijamii nunua tablet

ECL Computer Clinic    







 

0 comments:

Post a Comment