Hakiki Muonekano wa computer wa njee ukikagua kwa makini michubuko na mipasuko maana inaweza leta shida baadaye.
Hakiki screen yako, mara kadhaa computer huwa zinauzwa na screen ambazo zinakwenda kuharibika, cheki katika screen yako kama kuna mistari yeyote ambayo haibadiliki na vile ambavyo vinaendelea ndani ya computer.
Baada ya computer kuwaka hakiki ukubwa wa hard drive/harddisk/ storage au uhifadhi wa computer kama ndio ule ule ambao umetajiwa.
Hakiki speed ya computer kwa kufungua vitu mbalimbali kama speed ya kucheza videos na hata kufunga na kufungua mafaili au fata maelekezo ambayo umeonyeshwa hapo chini, speed yenyewe hupimwa katika MB(megabyte) na GB(Gigabyte) .
Hakiki uwezo wa kuingiza charge na muda wa kukaa na charge kwa kukubaliana na muuzaji jinsi ya kutambua muda huo udanganywe kwa jinsi computer ilivyoandika katika tab area...
0 comments:
Post a Comment