Jinsi ya Kujifunza Web Design and Graphics Design Kwa urahisi.
Web Design/Development
Katika mambo ya tovuti au website huwa zinatengenezwa na Lugha mbali mbali za computer ambazo ni- HTML
- CSS
- JAVASCRIPT
Hizo ni lugha kuu lakini website za kisasa zinahitaji Lugha zifuatazi ili ziwe nzuri zaidi JQUEERY, PHP na lugha nyingine za database mfano SQL na uelewa wa kawaida wajinsi database zinazyofanya kazi na jinsi ya kuziunganisha na tovuti, pindi tu kama tovuti itahitaji kuwa na uwezo wa kusajili watu na kufanya kazi nyingine.
Kwa Taarifa, Maswali, fursa mbali mbali za IT hapa Tanzania na Africa Mashariki, pamoja na kozi fupi za ujuzi mbali mbali katika IT(information Technology),jiunge na group la whatsapp la MAXPO Tanzania Maximize your potential Bonyeza hapa
JINSI YA KUSOMA
Siku hzi kila kitu kipo kwenye mtandao wa internet, nakushauri tumia zaidi videos uweze kusoma kwa haraka zaidi,jinsi ya kupata elimu hii ingia kwenye mtandao wa youtube na search kwa njia hii… andika web design for beginners, html for beginners ,css for beginners and javascript for beginnersAu
Ili upate vitabu andika google free HTML,CSS and Javascript for beginners .PDF na kila lugha I search kwa kuishia mwisho .PDF na kuanzia na free.
Blogs.
Blogs ni rahisi kutengeneza unaweza ukatengeneza hata kama huna knowledge ya Code hata moja au hizo programming language. Kama kawaida nenda youtube andika how to design a blog or blogging for beginners ili uweze kupata knowledge zaidi juu ya hayo mambo.Kuna makampuni kadhaa yanayokupa wewe uwezo wewe wakutengeneza blogu nayo ni Blogger na Wordpress na kumbuka blogu unaweza kuifanya ndio ikawa website kabisa ukiisajili kwenye mtandao kwa malipo maalumu.Angalizo.
Ujuzi wa hizo lugha ni muhimu sana maana utakusadia kuweza pia kuikarabati blogu yako kitaalamu zaidi.
Kwa Taarifa, Maswali, fursa mbali mbali za IT hapa Tanzania na Africa Mashariki, pamoja na kozi fupi za ujuzi mbali mbali katika IT(information Technology),jiunge na group la whatsapp la MAXPO Tanzania Maximize your potential Bonyeza hapa
Graphics Design
Fani hii inaundwa kwa kujifunza program zinafanya kazi ya kutengeneza vitu ambavyo nimevitaja hapo juu.
Graphics Design inahitaji ujifunze program zifuatazo;
- Adobe Photoshop**)Kwa ajili ya photo digital editing
- Adobe Illustrator**) Kwa ajili ya Drawing/digital art creation.
- Adobe InDesign**)Kwa ajili ya kutengeneza vitabu, magazeti au hata vipeperushi.
Jinsi ya kujifunza ni rahisi sana, Tumia Zaidi mtandao wa Youtube.com search ifuatavyo;
- Kujifunza Photoshop**) Adobe photoshop cc for beginners.
- Kujifunza Illustrator**)Adobe Illustrator CC for beginners.
- Kujifunza InDesign**)Adobe indesign CC for beginners.
Program za kuweka, tafuta program zifuatazo;
- Adobe photoshop CC au Adobe Photoshop 2017
- Adobe Illustrator CC au Adobe Illustrator 2017
- Adobe InDesign CC au Adobe InDesign 2017
Watu wazuri kwenye Youtube wanaitwa tastetusty wako vizuri sana.
Kwa Taarifa, Maswali, fursa mbali mbali za IT hapa Tanzania na Africa Mashariki, pamoja na kozi fupi za ujuzi mbali mbali katika IT(information Technology),jiunge na group la whatsapp la MAXPO Tanzania Maximize your potential Bonyeza hapa
Kaka nashukuru kwa elimu ya bure endelea na moyo huo
ReplyDeleteUmeeleweka mkuu very nice 🙂 bro
ReplyDeleteUnafanyaje KUTENGENEZA blog iwe kama web site exa www.mnyilinga.com
Nawezake kupata hizi notes katika pdf format?
ReplyDelete