Jifunze Computer kwa Kiswahili, 2024

Usipate tabu tena, jifunze computer kwa lugha ya asili yako,lugha unayoielewa, Lugha ya Kiswahili.
Hii ni zawadi kutoka ECL Computer Clinic bure kabisa na wewe ufahamu kutumia computer. Furahia zawadi hii.Soma Kitabu hapa

1 comment: