Jifunze jinsi ya kutengeneza matangazo ya mtandao ndani ya Dakika 5!Jifunze kwa urahisi ndani ya Dakika tano jinsi ya kutengeneza tangazo la kuweka mtandaoni likiwa linawavutia zaidi watu. Kuna video nyingi kama hautaelewa ya kwanza basi chagua ambayo inakwenda taratibu sawa sawa na uelewa wako.Kwa wale wanaoanza kujifunza tafadhali angalia video hii inayofuata ili uelewe vizuri zaidi.

2 comments: